Mwili wa kijana aliyekuwa kwenye ghorofa iliyobomolewa Mombasa umepatikana baada ya siku 12

  • | KBC Video
    629 views

    Mwili wa Yusuf Abdi, kijana aliyekuwa amenaswa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa 11 lililoporomoka katika eneo la Bondeni mjini Mombasa, umepatikana na kuopolewa baada ya siku kumi na mbili za msako mkali. Abdi alionekana mara ya mwisho tarehe 2 Aprili kwenye picha za CCTV akiingia ndani ya jengo hilo muda mfupi kabla ya ghorofa ya kwanza,kuanza kuonyesha dalili za kuporomoka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive