Kiongozi wa Kanisa Katoliki akemea kushambuliwa kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    1,174 views

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kakamega na Vihiga, Joseph Obanyi, amewarai wanasiasa kutowatumia wanafunzi kutimiza malengo yao ya kisiasa