KUHIFADHI MAZINGIRA

  • | KBC Video
    9 views

    Connect with KBC Online; Rais wa kamati ya Olimpiki humu nchini ambaye pia ni mwanachama wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki Dr. Paul Tergat, amesema ipo mipango ya kuandaa mashindano ya mbio za Marathoni mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi kwa lengo la kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira.Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive