Mwaura : Magazeti mengine yanakuwa na 'headlines' ambazo ni za kupiga serikali

  • | KBC Video
    38 views

    GOVERNMENT SPOKESPERSON BRIEFING

    Isaac Mwaura : Ningependa kurai vyombo vyetu vya habari kutotumika vibaya, kwa sababu magazeti mengine yanakuwa na 'headlines' ambazo ni za kupiga serikali. Unapoharibia nchi sifa, wawekezaji hawatakuja. Lazima tuwe watu ambao ni wazalendo na tuangalie jinsi ya kuinua uchumi wa taifa letu.

    #KBCniYetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News