Mpatanishi mpya wa amani DRC

  • | BBC Swahili
    4,116 views
    Juhudi za kutafuta amani mashariki mwa DRC zimepigwa jeki kwa kuteuliwa kwa Rais wa Togo kuongoza kamati ya AU kupatanisha makundi yanayozozana. Haya yanajiri wakati ambapo mapigano yamezuka upya viungani mwa mji wa Goma na kwengineko Kivu Kusini. @RoncliffeOdit atakuwa na maelezo ya kina kuhusu taarifa hii na mengine mengi saa 3 usiku katika Dira ya Dunia TV mubashara kupitia ukurasa wa wa YouTube wa BBC Swahili #bbcswahili #diratav #dirayadunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw