Makundi ya Haki za Binadamu Yailaumu Serikali ya Ruto kwa Ukandamizaji

  • | K24 Video
    102 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yameikosoa vikali serikali ya Rais William Ruto, yakidai kuongezeka kwa ukandamizaji, ufisadi, na uongozi mbaya. Kwenye ripoti yao ya kati ya muhula, yamesema serikali inadhoofisha bunge na kukwepa uwajibikaji wa ukiukaji wa haki.