Wakazi wa Garbatula, Isiolo wapata matibabu ya macho na upasuaji wa bure

  • | NTV Video
    111 views

    Wakazi kutoka eneo la Garbatula na maeneo jirani ikiwemo Kinna katika kaunti ya Isiolo wanufaika na matibabu ya macho na upasuaji wa bure kwa kuondoa ukungu machoni ili kuepusha upofu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya