Gachagua na Natembeya wanadai kuna njama ya kuuwawa

  • | Citizen TV
    5,116 views

    Wawili hao wanasema kuwa maisha yao yamo hatarini

    Wawili hao wanadai kuandamwa kwa kuikosoa serikali

    Inspekta jenerali wa polisi apuuzilia mbali madai ya Gachagua