Usafiri watatizika kwa zaidi ya saa tatu baada ya mvua kubwaKericho

  • | Citizen TV
    1,588 views

    Hii ni baada ya mvua kubwa kuangusha miti barabarani

    Wakazi walazimika kukata miti ili usafiri urejelewe