Kituo cha utafiti Shimoni kinakaribia kukamilika Kwale

  • | Citizen TV
    44 views

    Kituo cha utafiti na uhifadhi wa viumbe vya baharini cha shimoni kaunti ya kwale kitakachogharimu shilingi bilioni moja nukta nne kinakaribia kukamilika