Wadau wahofia maambukizi zaidi miongoni mwa vijana

  • | Citizen TV
    44 views

    Wadau wa sekta ya afya wanahofia kuwa Zaidi ya vijana 4,000 katika kaunti ya Kwale wanaotumia dawa za kulevya wako kwenye hatari ya kuambukizwa na kueneza maambukizi ya HIV kutokana na kududimia kwa ufadhili wa mipango ya kupunguza maambukizi hayo