Vijana waonywa kuhusu matumizi mabaya ya mitandao

  • | Citizen TV
    83 views

    Vijana humu nchini wamehimizwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia nzuri na yenye manufaa badala ya kuendeleza matusi na siasa za chuki kupitia mitandao Mbali mbali ya kijamii