Walimu wa shule 64 wamepewa mafunzo ya kidijitali

  • | Citizen TV
    108 views

    Juhudi za kuleta usawa wa kielimu kupitia teknolojia mashinani zimepiga hatua kubwa kaunti ya Taita Taveta, baada ya walimu zaidi ya 64 kupatiwa mafunzo ya kidijitali katika mradi unaolenga kuwawezesha wanafunzi kufuatilia kwa urahisi mtaala wa CBC