Je dhahabu ndio mkombozi wa uchumi unaotatizika duniani?

  • | BBC Swahili
    2,114 views
    Kwa karne nyingi, dhahabu imeonekana kama uwekezaji thabiti, unaotafutwa sana na wawekezaji katika nyakati zisizo na uhakika. Hata hivyo sio rahisi kuna hatari zake Laillah Mohammed anaelezea #bbcswahili #uwekezaji #dhahabu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw