Rais Ruto awaonya raia wasizungumzie jeshi kiholela

  • | Citizen TV
    6,599 views

    Rais asema mazungumzo ovyo yanahatarisha usalama

    Rais asema baadhi ya mazungumzo yanaharibia jeshi jina

    Ruto asema atalitetea jeshi la taifa kwa vyovyote vile