Biashara I Shughuli za uvuvi kuboreshwa Vihiga

  • | KBC Video
    27 views

    Gavana wa kaunti ya Vihiga Dr. Wilber Ottichilo ametangaza mipango ya kufufua Kiungulio cha samaki cha Mwitoko pamoja na kituo cha mafunzo ya ufugaji samaki cha Wemilabi, katika kaunti ndogo ya Luanda. Miradi hiyo inanuiwa kuboresha ufugaji samaki kupitia upatikanaji wa samaki wa viwango vya juu pamoja na vifaa vya uvuvi vya bei nafuu. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive