Je, vikosi vya RSF vitaigawanya Sudan? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,708 views
    Kundi la Rapid Support Forces RSF nchini Sudan limetangaza kuunda serikali m'badala, huku hofu ikiongezeka kwamba nchi hiyo inayokabiliwa na vita huenda ikagawanyika. Tangazo hilo lililotolewa na kiongozi wa RSF Mohamed Hamdan Dagalo maarufu kama "Hemedti" limekashifiwa vikali na kutajwa kama 'uhaini' na mamlaka ya mpito inayoungwa mkono na jeshi la Sudan. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw