Kamati ya usaili wa makamishna wa IEBC yaendelea na mahojiano

  • | Citizen TV
    84 views

    Kamati ya uteuzi w amakamishna wa IEBC inaendeleza mahojiano ya wawaniaji watano hii leo baada ya mwaniaji mmoja robert gichangi kabage kujiondoa. Wanaohojiwa leo ni robert maina ndun'gu, rodney walter, okoth ogendo, roselyn sidi randu, rukia atikiya na aliyekuwa naibu afisa mkuu wa iebc ruth kulundu.