BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    6,423 views
    Kutana na kijana wa Kitanzania Fanuel John Masamaki maarufu kama @zerobrainer0 anayefanya vizuri katika utengenezaji maudhui katika mtandao wa TikTok akiwawakilisha vyema CR7 na Messi wachezaji mashuhuri duniani kwa kuigiza jinsi wanavyofunga magoli na kushangilia. Zerobrainer anaelezea hapa kupitia ripoti ya mtangazaji kinara @roncliffeodit alipotembelea Tanzania. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #tiktoktanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw