Mwalimu apigwa risasi, majambazi wapora KSh 200,000 Mumias

  • | NTV Video
    1,294 views

    Maafisa wa polisi mjini Mumias wanawasaka majambazi waliompiga risasi mwalimu wa shule ya upili ya Nderema Roselyda Akinya na kuiba shilingi elfu mia mbili alizotoa katika benki moja mjini Mumias, kaunti ya Kakamega.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya