Mbunge wa Gem Elisha Odhiambo amshutumu gavana James Orengo

  • | KBC Video
    114 views

    Mbunge wa Gem Elisha Odhiambo amemshutimu gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo kwa kutokuwa na msimamo kutokana na hatua yake ya kuikosoa serikali jumuishi. Elisha anadai kuwa Orengo alikuwa akiikosoa serikali kwa maovu ambayo yanashuhudiwa katika kaunti yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive