Papa Mtakatifu Francis aaga dunia, alikuwa ameomba taratibu za mazishi yake zirahisishwe

  • | KBC Video
    1,123 views

    Baba Mtakatifu Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki ameaga dunia. Baba Mtakatifu aliyekuwa na umri wa miaka 88 alivumilia matatizo kadhaa ya afya katika miaka yake ya baadaye, na hivi maajuzi alilazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa kichomi mnamo tarehe 14 mwezi Februari, baada ya kukumbwa na matatizo ya kupumua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive