Mpango unaolenga vijana katika maeneo yaliyotengwa wazinduliwa Samburu

  • | KBC Video
    49 views

    Mpango unaolenga kuwawezesha vijana umezinduliwa katika kaunti ya Samburu. Mpango huo unaoongozwa na wakfu wa Hezena Lemaletian unalenga kuwasaidia wanafunzi kukumbatia mtazamo chanya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive