Familia yadai haki baada ya mama kufariki akifanyiwa upasuaji

  • | Citizen TV
    607 views

    Hospitali ya Rufaa ya Nakuru imemulikwa kwa mara nyingine kutokana na kifo tatanishi cha mwanamke mwenye umri wa miaka ishirini na saba, aliyefariki baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji