Kamati ya Bunge kuhusu Afya yaanza kuchunguza sakata

  • | Citizen TV
    119 views

    Kamati ya Bunge kuhusu Afya imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya biashara haramu ya uuzaji wa viungo hasa figo katika Hospitali ya Mediheal