Wasichana zaidi ya 700 waingia utu uzimani bila ya kukeketwa

  • | Citizen TV
    184 views

    Wasichana zaidi ya 700 wameasi ukeketaji katika Kaunti ya Kajiado kwa kupata mafunzo mbadala na kufaulu kukwepa minyororo ya mila hiyo potovu