Wakazi wanunua mifugo ili kukimu mahitaji ya maisha

  • | Citizen TV
    268 views

    Eneo la Kabwareng katika kaunti ya Nandi limekuwa likigonga vichwa vya habari kila mara kutokana na mauwaji,wizi wa mifugo, mizozo ya mipaka na aina nyingi za uhalifu