Kwa mara ya kwanza, FKF Machakos inaandaa ligi hiyo

  • | Citizen TV
    116 views

    Shirikisho la Kandanda nchini, tawi la Machakos, kwa mara ya kwanza limezindua rasmi Ligi ya Vijana walio chini ya umri wa miaka 17, 15 na 13, maarufu kama FKF Youth Elite League