Wanariadha watoa wito kwa serikali kujenga kambi ya riadha

  • | Citizen TV
    103 views

    Wanariadha wanaoshiriki mashindano ya gavana wa Kaunti ya Samburu katika uga wa Kenyatta, mjini Maralal, wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kujenga kambi ya wakimbiaji katika eneo hilo ili kutoa mazingira bora ya kulea na kukuza vipaji vya wanariadha chipukizi