Miili miwili yatolewa kutoka kanisa Migori, watu wengine 57 waokolewa na polisi

  • | KBC Video
    85 views

    Takriban miili miwili imeopolewa na watu 57 kuokolewa kutoka uwanja wa kanisa moja huko Opapo, Rongo, Kaunti ya Migori, kufuatia mzozo mkali kati ya waumini wa kanisa hilo na maafisa wa usalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive