Rais Ruto amewasili Beijing, Uchina, kwa ziara ya siku tano

  • | KBC Video
    1,255 views

    Rais William Ruto amewasili Beijing, Uchina, kwa ziara ya kiserikali ya siku tano inayolenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizi mbili. Ushirikiano huo unalenga kufungua fursa mpya katika biashara, uwekezaji na ustawi wa miundombinu. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi tayari amekutana na wawekezaji wapya kutoka Uchina ambao wameonyesha nia ya upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive