Maandalizi ya mazishi ya Papa Francis, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,482 views
    Makadinali wanakutana huko Vatican kwa ajili ya maandalizi ya mazishi ya Papa Francis, aliyefariki Jumatatu ya Pasaka akiwa mwenye umri wa miaka 88. Vatican imethibitisha kwamba alipatwa na kiharusi kilichosababisha matatizo ya moyo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw