Wakulima Homa Bay wadai viboko kutoka Ziwa Viktoria wamevamia mashamba

  • | KBC Video
    18 views

    Wakulima wa kijiji cha Angalo, eneo la Arujo, eneo la Homa Bay mjini, wanalalamikia kupoteza mazao kutokana na kile wanadai kuwa kuvamiwa na viboko kutoka ufuo wa Angalo katika Ziwa Victoria. Wakulima hao wanasema ekari kadhaa za mashamba yao zimeharibiwa, huku mazao kama mahindi, sukuma wiki, nyanya na mazao mengine ya bustani yakiharibiwa vibaya. Sasa wanaitaka serikali kuingilia kati na kuwalipwa fidia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive