| JUKWAA LA AFYA | Afya ya Uzazi ya Wanaume part(1)

  • | Citizen TV
    146 views

    Wanaume wakizeeka hupungukiwa na nguvu za kiume Tunaangazia magonjwa na tiba ya uzazi wa wanaume Lishe na mtindo wa maisha huathiri afya ya wanaume Baadhi ya maradhi yanaweza kusababisha ugumba Msongo wa mawazo pia huathiri afya ya uzazi ya wanaume Ni bora kumwangalia mtoto wa kiume iwapo anakua vizuri Korodani za mtoto zinapaswa kushuka na wala si kukaa ndani