HOSPITALI YA MEDIHEAL YAKANUSHA MADAI YA ULAGUZI WA FIGO

  • | K24 Video
    180 views

    Hospitali ya Mediheal mjini Eldoret imejitokeza kujibu madai yanayoihusisha na ulanguzi wa figo. Hii inajiri wakati Bunge linapanga kuanzisha uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za wizi wa figo na ukiukaji wa maadili ya matibabu. Mediheal imesema iko tayari kujiondoa kwenye sakata hilo kupitia njia za kisheria.