Waumini wa kanisa la St Joseph Mission of Messiah Africa walalamikia kufungwa kwa kanisa hilo

  • | NTV Video
    478 views

    Timu ya mawakili imechukua msimamo mkali katika kupinga amri ya kufunga kanisa la St Joseph Mission of Messiah Africa huko Rongo na kuwazuia waumini kuingia kwenye kanisa hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya