Familia yateketezwa Siaya

  • | Citizen TV
    3,221 views

    Mkasa ulioshtua kijiji kizima eneo la Ugunja kaunti ya Siaya ambapo familia ya watu tisa iliteketezwa moto na kufariki. Familia ya watu tisa akiwemo baba, mama na wanawe saba waliteketezwa hadi kufa, kwa kile kimetajwa kuwa mzozo wa ardhi eneo hilo la Upanda.