Kamati ya uteuzi kukamilisha mahojiano leo

  • | Citizen TV
    351 views

    Kamati ya uteuzi wa makamishna wa IEBC inakamilisha mahojiano na wawaniaji wa nafasi ya makamishna hii leo ambapo watu watano , akiwemo aliyekuwa naibu waziri katika wizara ya elimu hassan noor hassan, wanakamilisha vikao hivyo