Mwenyekiti wa Baraza la Magavana alaumu Seneti

  • | Citizen TV
    100 views

    Mwenyekiti wa Baraza la magavana Ahmed Abdullahi amekashifu hatua ya baadhi ya maseneta kutaka kupunguzwa kwa serikali za kaunti na kudai ni njama ya kuhujumu ugatuzi