Bunge la kaunti kuandika barua kwa Seneti

  • | Citizen TV
    141 views

    Bunge la kaunti ya Makueni limesema linaandika barua kwa bunge la seneti kuchunguza madai ya unyanyasaji na mazingira mabaya ya kufanyia kazi kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba za nafuu za serikali eneo la Wote kaunti ya Makueni