EACC kuwahoji naibu chansela na mwenyekiti wa baraza

  • | Citizen TV
    238 views

    Muungano wa Wahadhiri – UASU – sasa unamtaka Waziri wa Elimu, Tume ya Kukabili Ufisadi (EACC), na Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kuchukua hatua za haraka ili kutwaa na kurejesha fedha na mali inayodaiwa kuibwa ya Chuo Kikuu cha Nairobi