Wanamazingira watoa wito wa juhudi kwa mazingira

  • | Citizen TV
    121 views

    Kenya inapoteza takriban bilioni mia tisa kila mwaka kutokana na mabadiliko ya tabianchi huku ikisawazishwa na asilimia tatu au tano ya GDP au mapato ghafi ya taifa