Waziri Duale aagiza rekodi kunakiliwa vyema

  • | Citizen TV
    220 views

    Waziri wa Afya Aden Duale ameamuru halmashauri zote katika sekta ya afya kuchunguza na kuripoti kila baada ya miezi mitatu kuhusu visa vya vifo kwa kina mama na watoto