Kinamama 200 walio chini ya miaka 20 kushiriki katika kipute cha kandanda

  • | NTV Video
    92 views

    Kinamama wa kaunti ya Kilifi watashiriki kipute cha kandanda ambacho kimeanzishwa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwa ushirikiano na gatuzi la Kilifi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya