Gavana Abdulswamad aagizwa kuwasilisha ripoti kuhusu mpango wa elimu Mombasa

  • | NTV Video
    68 views

    Gavana Abdulswamad ameagizwa kuwasilisha ripoti ya kina kuhusu mpango wa elimu na bajeti ya kaunti ya Mombasa.

    Kamati ya seneti ya elimu imekosoa usimamizi wa elimu Mombasa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya