Idadi ya wanafunzi katika taasisi za kiufundi yaongezeka pakubwa

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya wanafunzi laki-6 wamejiunga na taasisi za kiufundi ikilinganishwa na idadi ya awali ya wanafunzi elfu-375. Serikali imesema kwamba hii ni hatua kubwa. Waziri wa elimu Julius Ogamba amesema kwamba wanafanya kampeni ya uhamasisho kwa ushirrikiano na wadau wengine wakiwemo maafisa wa utawala ili kuafikia idadi ya wanafunzi milioni mbili iliyoazimiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News