Isaboke atwaa usukani kutoka Kisiangani

  • | KBC Video
    7 views

    Katibu katika idara ya utangazaji na mawasiliano Stephen Isaboke anapendekeza matumizi ya rasilimali za shirika la utangazaji nchini kama vile ardhi, ili kuwezesha mabadiliko katika shirika hili. Isaboke alikuwa akizungumza alipomrithi mtangulizi wake, Profesa Edward Kisiangani na kusema mipango muhimu ya kuimarisha shirika hili inaendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News