Mauaji ya watu wawili yasababisha maandamano katika ya barabara ya Marigat-Nakuru

  • | KBC Video
    23 views

    Usafiri katika eneo la Nato katika ya barabara ya Marigat-Nakuru katika Kaunti ya Baringo ulitatizwa hii leo baada ya wakaazi waliokuwa na hasira kufunga barabara hiyo kulalamikia mauaji ya watu wawili siku ya Jumatatu. Wawili hao waliuawa kwa kupigwa risasi na majambazi wasiojulikana katika eneo la Loberer katika barabara ya Marigat_Chemolingot. Wawili hao ambao ni madereva wa lori walikuwa wakielekea katika soko la Nginyang.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News