Vituo vyote vya afya nchini kukaguliwa upya

  • | KBC Video
    4 views

    Vituo vyote vya afya nchini vitakaguliwa tena katika juhudi za kuhakikisha kwamba zinazingatia taratibu zilizowekwa za utekelezaji shughuli. Waziri wa afya Aden Duale pia ameagiza baraza la matabibu kushirikiana na baraza la madaktari na wataalamu wa meno kuhakikisha kwamba ni vituo vya afya vilivvyotimiza kanuni hizo pekee vitakavyopewa leseni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News