Usaili wa makamishna wapya wa IEBC waelekea kikomo

  • | KBC Video
    23 views

    Jopo la uteuzi wa makamishna wapya wa tume ya uchaguzi nchini limesalia na siku mbili kukamilisha shughuli ya usaili ambao umekuwa ukifanywa kwa mwezi mmoja uliopita. Leo, wagombea wengine 6 walitakiwa kueleza ufaafu wao na jinsi wangerejesha hadhi na sifa za tume hiyo. Ben Chumba na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News